TANZANIA YAENDELEA KUTANGAZA KAHAWA YAKE KATIKA MAONESHO YA SCAJ 2026 NCHINI JAPANI
Tanzania, kupitia Wizara ya Kilimo na Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB), kwa kushirikiana na Ubalozi wa Tanzania nchini Japani, inaendelea kutangaza kahawa yake katika Maonesho ya Kimataifa ya Kahawa Maalumu (SCAJ 2026),… Read More






