BALOZI ANDERSON MUTATEMBWA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MEYA WA JIJI LA NAGAI
Tarehe 19/01/2026 Balozi wa Tanzania nchini Japan alikutana na kufanya mazungumzo na Meya wa Jiji la Nagai lililopo Mkoa wa Yamagata nchini Japan Mheshimiwa Shigeharu Uchita.Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa… Read More







